sw_tn/jer/25/10.md

285 B

mawe ya kusagia

Haya ni mawili makubwa, mawe ya mviringo yanayotumika hupanda nafaka.

Nitafanya mambo haya yote kutoweka kutoka kwa mataifa haya

Haya ni kumbukumbu ya mataifa kuharibiwa.

mataifa haya watamtumikia mfalme wa Babeli

Ulazimishwe kulipa kodi na kuuzwa utumwani.