sw_tn/jer/25/05.md

493 B

njia zake mbaya na udhalimu wa matendo yake

Neno "njia mbaya" na "udhalimu wa matendo yake" inamaanisha kitu kimoja na kutaja kila kitu cha dhambi ambacho wanafanya.

kurudi kwenye nchi ambayo Bwana aliitoa wakati wa zamanai kwa ajili ya babu zenu na ninyi, kama zawadi ya kudumu

"ili uweze kurudi nchi ambayo Bwana alikuahidi na kuishi ndani yake milele"

msimkasirishe kwa kazi ya mikono yenu ili kwamba awaumize

"msimfanye Bwana kukasilika kwa kazi zenu za uovu hivyo atakuadhibu"