sw_tn/jer/23/25.md

375 B

Nilikuwa na ndoto!' Je, hii itaendelea mpaka lini, manabii wanaotabiri uongo kutoka kwa akili zao, na wanasema nini kutokana na udanganyifu mioyoni mwao?

"Hii haipaswi kuendelea, manabii wanaotangaza uwongo ambao wao wenyewe wametengeneza."

kuwafanya watu wangu kusahau jina langu..... kwa ajili ya jina la Baali

"kuwaongoza watu wangu wamwabudu Baali badala ya mimi"