sw_tn/jer/23/19.md

12 lines
188 B
Markdown

# dhoruba inazunguka
"ni kama dhoruba kubwa"
# Inazunguka vichwa vya waovu
"Inakuja juu ya waovu"
# zitakapotimiza nia ya moyo
"Ghadhabu ya Bwana italeta adhabu yote ambayo amepanga"