sw_tn/jer/23/16.md

441 B

Wamekudanganya

"Manabii wamekufanya uamini kitu ambacho si kweli!"

maono kutoka kwenye mawazo yao wenyewe

"maono waliyofikiria"

si kwa kinywa cha Bwana

sio kutoka kwa Bwana

Lakini nani amesimama katika mkutano wa baraza la Bwana? Ni nani anayeona na kusikia neno lake? Ni nani anayezingatia maneno yake na kusikiliza?

Hakuna mtu anayemshauri Bwana. Hakuna mtu anayeelewa kile Bwana anasema. Hakuna mtu anayetii amri za Bwana.