sw_tn/jer/23/13.md

881 B

huenda kwa udanganyifu

"wanaishi katika kutokuwaminifu"

Wanaimarisha mikono ya waovu

"huwaimarisha wale wanaofanya mabaya"

hakuna mtu anarejea na kuacha uovu wake

"Wanaendelea katika dhambi zao"

Wote wamekuwa kama Sodoma....kama Gomora.

"Walikuwa waovu sana"

wormwood was something that was bitter and unpleasant to eat. This phrase describes the punishment that Yahweh was going to bring about on the evil prophets. In the same way, wormwood was bitter and the water was poisonous, so would Yaweh's judgment be on the evil prophets.

Magugu ni kitu kilichokuwa kichungu na kisichofurahisha kula. Maneno haya yanaelezea adhabu ambayo Bwana angeenda kuleta juu ya manabii mabaya. Kwa njia hiyo hiyo, mchanga ulikuwa uchungu na maji yalikuwa yenye sumu, basi hukumu ya Yaweh ingekuwa juu ya manabii waovu.

kufuru imetoka kwa manabii

"Uovu umetoka kwa manabii "