sw_tn/jer/20/07.md

1.4 KiB

Taarifa za jumla

Yeremia anaongea na Bwana

hakika nilikuwa nimedanganywa

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "Wewe hakika umenidanganya" (UDB) au "umenidanganya"

Wewe umenidanganya, Bwana. Kwa hakika nilikuwa nimedanganywa

Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri maneno haya ya Kiebrania kama "Wewe umenishawishi, Bwana. Kwa hakika nilikuwa na ushawishi.

kuchekesha

Huyu ni mtu ambaye wengine wanamcheka na kumchukiza.

Watu wananidharau kila siku, siku zote

Maneno haya yanamaanisha kimsingi kitu kimoja kama maneno ya awali.

nimeita na kutangaza

Maneno haya mawili yanamaanisha jambo sawa na kusisitiza kwamba alitangaza ujumbe wa Bwana kwa ujasiri. AT "alitangazwa kwa wazi" au "alitangaza kwa sauti kubwa"

neno la Bwana limefanywa shutumu na dhihaka kwangu kila siku

Hapa "neno" linamaanisha ujumbe wa Bwana. AT "Watu wana nishutumu na kunidhihaki kila siku kwa sababu mimi hutangaza ujumbe wa Bwana"

shutumu na dhihaka

Maneno "kutukana" na "kunyosha" inamaanisha kuwa sawa na kusisitiza kwamba watu wamemcheka Yeremia kwa kutangaza ujumbe wa Bwana. AT "sababu ya watu kunidharau"

Sitatangaza tena jina lake

Inawezekana maana ni 1) "Sitasema tena juu yake" (UDB) au 2) "Sitasema tena kama mjumbe wake"

Ni kama moto moyoni mwangu, uliofanyika ndani ya mifupa yangu

Yeremia anazungumzia ujumbe wa Bwana kama ni moto usio na udhibiti. AT "neno la Bwana ni kama moto unaowaka ndani yangu"