sw_tn/jer/20/05.md

629 B

Nitampa

Hapa neno "yeye" linamaanisha mfalme wa Babeli.

utajiri wote ... utajiri wake wote, vitu vyote vya thamani na hazina zote

Bwana anarudia wazo moja la msingi mara nne kwa msisitizo. Hiyo ni Babeli itachukua utajiri wote wa Israeli, ikiwa ni pamoja na mali ya Mfalme.

Nitaweka vitu hivi mikononi mwa adui zako

Hapa neno "mkono" linamaanisha kuwa milki. AT "Nitawaacha maadui wako kuchukua milki ya vitu hivi" au "Nitawapa vitu hivi kwa adui zenu"

Wewe na wapendwa wako wote ambao uliwatabiria maneno ya uongo mtazikwa huko

"Huko, watu watakuzika wewe na wapendwa wako wote ambao uliwatabiria mambo ya uongo"