sw_tn/jer/19/06.md

32 lines
697 B
Markdown

# Angalia
"kusikiliza" au "kuwa makini na kile ninachokuambia"
# hili ni tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
# mahali hapa hapataitwa tena
"watu hawataita tena mahali hapa"
# Tofethi....bonde la Ben Hinomu....bonde la machinjo
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 7:31.
# Nitawafanya wapate kuuawa kwa upanga mbele ya adui zao
"Nitawafanya maadui wao kuwaua kwa mapanga"
# kwa mkono wa wale wanaotafuta maisha yao
Maneno haya yanamaanisha kimsingi kitu kimoja kama maneno ya awali. AT "Nitawawezesha wale ambao wanataka kuwaua kuwaua"
# milele
"S" sauti, ambayo inaonyesha kukataa kwa nguvu.
# Nitawafanya kula
"Nitawafanya watu wanaokaa Yerusalemu kula"