sw_tn/jer/19/01.md

12 lines
214 B
Markdown

# Bonde la Ben Hinomu
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 7:31.
# Angalia
"Sikiliza" au "Jihadharini na kile nitakachokuambia"
# masikio ya kila mtu anayesikia yatawaka
"itamshangaza kila mtu anayeisikia"