sw_tn/jer/17/07.md

12 lines
298 B
Markdown

# atakuwa kama mmea karibu na maji
Mtu anayemtegemea Bwana atafanikiwa, kama vile mti unavyofanya wakati unapandwa na mto. Haiathiri wakati hakuna mvua.
# Hatawezi kuona joto hilo linalokuja
"Yeye hatasumbuliwa na hali ya hewa ya joto inayokuja"
# hawezi kuwa na wasiwasi
hatakuwa na wasiwasi