sw_tn/jer/16/07.md

24 lines
777 B
Markdown

# Hakuna mtu anayepaswa kugawa chakula chochote wakati wa kuomboleza ili kuwafariji kwa sababu ya vifo, na hawatawapa kikombe cha faraja kwa baba yake au mama yake
Sentensi hizi mbili zina maana sawa. Ilikuwa ni desturi ya kuchukua chakula au divai kwa watu ambao jamaa yao imekufa. Bwana ameondoa faraja yote kutoka kwa watu kwa sababu ya dhambi zao. AT "Usifariji watu wakati wa jamaa wao akifa"
# Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 7:3.
# Tazama
"Sikiliza" au "Jihadharini na kile nitakachokuambia"
# mbele ya macho yako
Hapa neno "yako" ni wingi na linamaanisha watu wa Israeli. AT "mbele yako" au "wapi unaweza kuona"
# katika siku zako
""wakati wa maisha yako
# sauti ya bwana na bibi
Hii inahusu watu kuadhimisha ndoa.