sw_tn/jer/15/17.md

367 B

Sikuketi katika mkutano wa

"Sikuwa na muda na"

Kwa nini maumivu yangu yanaendelea na jeraha langu halitibiki, linakataa kuponywa?

"Maumivu yangu yanaendelea na jeraha langu haliwezekani. Siwezi kuponywa."

Je, utakuwa kama maji ya udanganyifu kwangu, maji yanayokauka?

"Ahadi zako kwangu ni kama mkondo ninakwenda kwa ajili ya kunywa tu ili upate kukauka?"