sw_tn/jer/15/03.md

530 B

Taarifa za jumla

Bwana amewaambia kuwa atawatuma baadhi yao kufa, wengine kufa kwa upanga, wengine kufa kwa njaa, na wengine kuwa mateka.

tamko la Bwana

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1 7.

Nitawafanyia jambo lenye kutisha kwa falme zote za dunia, kwa sababu Manase mwana wa Hezekia, mfalme wa Yuda, alifanya huko Yerusalemu.

Nami nitawafanya kuwa ufalme wa nchi zote kwa sababu ya Manase, mwana wa Hezekia mfalme wa Yuda, huko Yerusalemu.

nitawaweka katika makundi manne

"Nitawaweka makundi manne juu yao"