sw_tn/jer/13/18.md

448 B

Taarifa za jumla

Bwana anaendelea kuzungumza na Yeremia. Anamwambia Yeremia nini cha kumwambia mfalme wa Yuda na mama wa mfalme

kwa maana taji juu ya kichwa chako, kiburi chako na utukufu wako, umeanguka

"Huwezi tena kuwa mfalme na mama wa malkia" (Angalia hatua ya mfano)

mama wa malkia,

mama wa mfalme.

Miji ya Negebu itafungwa

"Adui zako watafunga miji ya Negebu juu"

Yuda watachukuliwa mateka

"Maadui watachukua Yuda mateka"