sw_tn/jer/12/12.md

305 B

wazi

"sio kufunikwa" au "tupu"

Upanga wa Bwana unakula

Bwana anatumia majeshi haya kuwaadhibu watu wake

upande mmoja wa nchi hadi mwingine

Hii inahusu nchi yote ya Ahadi

Wana

"Watu wangu wana"

miiba

mimea mikubwa ambayo inafunikwa kwa pointi kali

wamechoka

"huvaliwa" au "amechoka"