sw_tn/jer/12/03.md

357 B

Taarifa za jumla

Yeremia anaendelea kusema na Bwana.

Waondoe kama kondoo wa kuchinjwa

"Tayari kuwaadhibu watu waovu"

Je! Nchi itakauka kwa muda gani.....sababu ya uovu wa wenyeji wake?

"Rasimu ya sababu kwa uovu wa watu imechukua muda mrefu sana."

Wanyama pori na ndege wamekufa kutoka ukame.

Wanyama na ndege wameondolewa

kuota

"kausha"