sw_tn/jer/07/33.md

383 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kuongea

Mizoga

"watu waliokufa"

watu hawa

"watu wa Yuda"

ndege wa angani

Tazama 4:23

wanayama wa duniani

"wanyama wa mwituni"

wa kuwafukuza

"wa kuwatisha ili wakimbie"

Nitazikomesha

"Nitaziondoa kutoka

sauti za kuinuliwa na vicheko

"sauti za watu wanaofurahia"

sauti ya bwana arusi na ya bibi arusi

"watu kuona"