sw_tn/jer/07/29.md

288 B

wana wa Yuda

"kizazi cha Yuda"

amekikataa na kukitupa

manano haya yana maana moja, Yanasisitiza kuwa BWANA hatakuwa na jambo lingine la kufanya kwa watu wa Israeli.

Kuzitupa

"kuziacha pekee yake" au "kupuuzia"

mbele ya macho yangu

"na mimi nikiona" au "katika fikra zangu"