sw_tn/jer/06/27.md

784 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaongea

kuwajaribu watu wangu kama mtu anyepima fedha.

"mtu atakayewapima watu wangu" BWANA anamfananisha Yeremia na mtu anyepima fedha ili kutambua ni safi kiasi gani. Watu ni kama fedha ambayo Yeremia anaipima na dhambi zao ndiyo uchafu katika zile fedha.

utachunguza

"utagundua"

njia zao

"vitu wanavyofanya."

wanaoenda huko na kule wakiwasingizia wengine

"na daima huwasingizia watu"

Mifuo inafukuta kwa moto unaozunguka; risasi inaunguzwa na moto

virai hivi vinasisitiza kuwa mpimaji anafanya kazi kwa bidii kuipima fedha

Risasi tu ndiyo inyotoka kati yake

"mpimaji anendelea kupima"

kwa sababu uovu haujaondolewa

"kwasababu sehemu mbovu hazijaondolewa"

Wataitwa taka za fedha

"watu wataita 'fedha isiyo na thamani'"