sw_tn/jer/06/04.md

457 B

Taarifa kwa ujumla

Mflame toka jeshi litaloangamiza anaongea na wanaume walio chiniya mamlaka yake.

Jitakaseni wenyewe kwa miungu kwa ajil ya vita

"Jiandeni kwa vita kwa kujitakasa na kutoa sadaka kwa miungu"

Twendeni

"inukeni"

adhuhuri

"adhuhuri bila kujali kuwa joto ni kali"

mchana unatoweka

"mchana unafika mwisho

vinakuja

"vinachomoza"

usiku

"wakati wa usiku hata kama kuna giza"

ngome zake

"majengo imara ya Yerusalemu"