sw_tn/jer/04/11.md

28 lines
447 B
Markdown

# itasemwa
"BWANA atasema"
# Upepo uwakao kutoka katika nyanda ... upepoulio na nguvu
Moto na adui asiyekuwa na msamaha anakuja
# binti wa watu wngu
Taifa limelinganishwa na bibi arusi maalumu katika mahusiano ya kimahaba
# Hautapepetwa wala kuwatakasa
"sitaziondoa dhambizao"
# Upepo ... utakuja kwa amri yangu
"Upepo huo utaamriwa na Mungu kuja.
# kwa amri yangu
"kutoka kwangu"
# sasa napitisha hukumu dhid iyao
"natangaza hukumu"