sw_tn/jer/04/07.md

240 B

Simba anakuja

"jeshi lenye nguvu na kali linakuja"

kichaka

ni jumla ya mimea inayokua pamoja

ameanza kuja

"ameanza kusogea"

hofu

kuogopa, kutetemeka

lieni

kilio cha sauti na na huzuni na toba kwa sababu ya kutenda dhambi