sw_tn/jer/02/32.md

697 B

Je, mwanamwali anaweza kusahu mapambo yake, na bibi arusi mavazi yake?

"BWANA anaanza kuwakemea watu wake kwa kumsahau"

kwa siku nyingi

"muda mrefu sana"

Jinsi mlivyotengeneza njia zenu vizuri ili kutafuta mapenzi. Hata mmewafundisha njia zenu wanawake waovu,

BWANA anasema kuwa Waisraeli wamekuwa wazuri wa kutafuta miungu ya uongo kiasi kwamba wanaweza kumwosha kahaba namna ya kuwakaribisha wateja.

Damu ambayo ilikuwa ndio uhai wa watu wasio na hatia, imeonekana katika mavazi yenu

Mnahatia ya kuwaua watu masikini na watu wasiokuwa na hatia, watu ambao hawakufanya chocote kuwaumiza."

Hawa watu hawajawahi kuonekana katika matendo maovu.

"Hmkuwaona hawa watu watu wakiiba"