sw_tn/jer/02/23.md

1005 B

sijaeanda

"sijaabudu"

Tazama tabia zako zilivyokuwa bondeni! ...njia yake!

"Lazima uyatazame matendo uliyofanya katika bonde nje ya Yerusalemu. Unakimbia mbele na nyuma ukifukuza huyu na yule kama ngamia mwepesi asiyejua kule anakoelekea."

mwepesi

"kasi" au " haraka"

Wewe ni punda wa mwitu .... wakatai wa mwezi wa kupandwa

"Wewe ni kama punda jike mchanga anapokuwa katika wakati wa kupandwa huwa hawezi kujizuia na mara kwa mara hubadilishi maeneo akitafuta dume la kumpanda. Punda dume wala hawafukuzi kwa sababu punda jike hujipeleleka,"

anapotafuta

"tamaa kali"

avutaye pumzi za upepo

"kupumua kwa nguvu na kwa haraka"

Lazima uizuie miguuyakoisikose kiatu ... huwatafuta

"Nimekuambiauache kukimbiakimbia hapa na pale ukimbilia Miungu ya uongo, kwa sababu matokeo yakae ni kumaliza viatu n akukufanya uwe na kiu. Lakini unaniambia, 'Hatuwezi kujizuia. Lazima tuifuate hii miungu ya Baali na kuiabudu!"

kiu

hitaji lamaji

wageni

watu ambao hatujawahi kukutana nao