sw_tn/jer/02/04.md

560 B

nyumbaya ya Yakobo na kila famila katika nyumba ya Israeli

"enyi kizazi chote cha Yakobo"

Ni makosa gani ambayo ... nao si kitu?

"Sikufanya baya lolote kwa baba zenu, kwa hiyo wamenikoseakwa kutonitii na kuanza kuabudu miungu isiyo na kitu chochote na wao kuwa si kchochote!"

si chochote

isiyo na thamani

BWANA yuko wapi, ambaye alitutoa ... Misri? BWANA yuko wapi, ambaye alituongoza ...anayeishi humo?

"Tunapaswa kujifunza kujua kile ambacho BWANA anatutaka kufanya. Yeye ndiye aliyetuleta ... Misri naye ndiya alituongoza ...anayeishi humo."