# Usifadhaike ... nisije nikakufadhaisha
"usiogope sana ... nisije nikakuogofya"
# kuvunja
kupasua katika vipande vidogo vidogo
# Tazama
"uwe tayari"
# chuma ... shaba
zana ngumu zilivyofahamika nyakati zile
# BWANA asema
Tazama 1:7