sw_tn/jdg/20/15.md

16 lines
246 B
Markdown

# Ishirini na sita elfu
"26,000"
# Mia saba
"700"
# shoto
Mtu mwenye shoto ni mtu mwenye uwezo wa kutumia mkono wake wa kushoto vizuri kuliko wa kulia.
# angeweza kupiga unywele kwa mawe na asikose
"anaweza kupiga kwa kutumia jiwe vizuri"