sw_tn/jdg/20/10.md

12 lines
244 B
Markdown

# watu kumi katika mia moja ... mia moja katika elfu ... elfu moja katika elfu kumi
"Watu 10 katika 100 ... 100 katika 1,000 .... 1,000 katika 10,000"
# Chakula
"mahitaji"
# wakakusanyika juu ya mji
"Wakakusanyika pamoja ili kuuvamia mji"