sw_tn/jdg/20/05.md

12 lines
181 B
Markdown

# uovu na upumbavu
Huu ni uovu.
# Sasa
Hili neno limetumika kuonesha mwisho wa maneno ya Mlawi
# toeni maneno na ushauri wenu hapa
"amueni ni nini kifanyike kuhusu jambo hili"