sw_tn/jdg/17/03.md

20 lines
314 B
Markdown

# Nimeweka
Hii inamaanisha kuweka kitu kwa ajili ya kusudi maalumu.
# takwimu za chuma
Chuma kilichoyeyushwa na kutengeneza umbo maalumu.
# Nakurudishia wewe
"Nairudisha kwako"
# Vipande mia mbili vya fedha
"vipande 200 vya fedha"
# Vikawekwa ndani ya nyumba ya Mika
"Mika akaviweka ndani ya nyumba yake"