sw_tn/jdg/15/17.md

20 lines
599 B
Markdown

# Ramath Lehi
Hili ni jina la mahali. Lenye maana ya kilima cha taya.
# alikuwa na kiu sana
"alihitaji maji ya kunywa"
# Lakini sasa nitakufa kwa kiu na kuanguka
Yaweza kuwa na maana ya 1)Samsoni alikuwa na kiu sana kiasi cha kufa. 2)Samsoni alitia chunvi kuonesha ni kwa kiasi gani alikuwa na kiu.
# kufa kwa kiu
Hii inamaanisha kuwa kufa kwa sababu hujanywa maji ya kutosha hivyo hauna maji ya kutosha mwilini.
# kuanguka mikononi mwa wale wasiootahiriwa?
"kuanguka mikononi" Hii inamaanisha kukamatwa. "Wasiotairiwa" hawa ni Wafilisti, hii inasisitiza kuonesha kuwa hawakumwabudu Bwana.