sw_tn/jdg/15/11.md

16 lines
430 B
Markdown

# Watu elfu tatu wa Yuda
"watu 3,000 wa Yuda"
# mwamba la Eatamu
Hili ni jina la mwamba lililopo karibu na Yerusalemu.
# Je, hujui kwamba Wafilisti hutawala juu yetu? Je! umetutendea nini?
"Unajua kwamba Wafilisti wanatutawala lakini unafanya kama vile hawatutawali. Unayoyafanya yanatusababishia madhara makubwa."
# Kwa kadiri walivyonitendea mimi, vivyo hivyo nimewatendea wao.
"Wamemuua mke wangu hivyo nimewaua na wao"