sw_tn/jdg/14/12.md

20 lines
356 B
Markdown

# Kitendawili
Huu ni mchezo ambao wachezaji wanatakiwa wagundue jibu kutokana na swali gumu.
# anaweza kuipata
"Anaweza kuipata maana yake"
# nguo za kitani thelathini na seti ya nguo thelathini
"nguo za kitani 30 na seti ya nguo 30"
# Lakini ikiwa hamuwezi kuniambia
Anawaambia maneno haya wageni waliokuwa kwenye sherehe.
# Kitani
Aina ya nguo.