sw_tn/jdg/14/10.md

12 lines
304 B
Markdown

# Baba yake Samsoni akaenda chini alipokuwa mwanamke
Neno "kushuka" linatumika kwa sababu Timna ipo juu ya ilipokuwa nyumba ya baba yake na Samsoni. Hapa inaonesha kuwa alikuwa Timna pamoja na Samsoni.
# desturi ya vijana
"desturi ya vijana waliokaribia kuoa"
# rafiki zao thelathin
"rafiki zao 30"