sw_tn/jdg/11/07.md

12 lines
216 B
Markdown

# Nyumba ya baba yangu.
"nyumba" inawakilisha watu waishio nyumbani.
# Ndiyo sababu tunakugeukia sasa
"tunakuja kwako sasa kwa sababu tupo kwenye shida"
# pigana na watu wa Amoni
"pigana dhidi ya watu wa Amoni"