sw_tn/jdg/10/13.md

8 lines
171 B
Markdown

# mliniacha tena
Watu waliacha kumtii na kumuabudu Bwana, walimuacha na kwenda kuabudu miungu mingine.
# Kwa hiyo, sitawaokoa tena.
"Sitaendelea kuwaokoa tena na tena"