sw_tn/jdg/09/36.md

16 lines
267 B
Markdown

# Gaali
Hili ni jina la mwanaume.
# Zebuli
Hili ni jina la mwanaume.
# Wewe unaona vivuli juu ya vilima kama vile watu
Zebuli anajaribu kumchanganya Gaali na kusababisha asijiandae na vita. "Hao sio watu ni vivuli tuu juu ya vilima"
# kitengo kimoja
"kundi 1"