sw_tn/jdg/09/34.md

16 lines
261 B
Markdown

# watu wote waliokuwa pamoja
"na watu wote wakamsindikiza Abimeleki"
# wakaandaa uvamizi dhidi ya Shekemu
"Shekemu" inawakilisha watu wa Shekemu.
# wakagawanyika vitengo vinne
"wakagawanyika katika makundi 4"
# Gaali ... Ebedi
Haya ni majina ya wanaume.