sw_tn/jdg/09/09.md

28 lines
775 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Yotamu anaendelea kuelezea fumbo ambapo miti inawakilisha makundi mbalimbali ya watu.
# mti wa mizeituni ukawaambia
Mti unafananishwa na mtu anayeweza kusikia na kuongea.
# Je! Nitaacha mafuta yangu ... juu ya miti mingine?
Mzeituni unauliza swali la kukataa kuwa na huruma. Swali hili linaweza kuelezewa kama sentensi "Sitaacha mafuta yangu ... juu ya miti mingine"
# Kuvuka juu
Mti unatumia maneno haya ukimaanisha "kutawala juu"
# Mtini
Mti unafananishwa na mtu anayeweza kusikia na kuongea.
# Je, nitaacha utamu wangu ... Je, nitaacha utamu wangu
Mtini unauliza swali la kukataa kuwa na huruma. "sitaacha utamu wangu ... juu ya miti mingine"
# utamu wangu na matunda yangu
"utamu" ni neno linaloonesha kuwa matunda ya mti ule yamekomaa.