forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
456 B
Markdown
16 lines
456 B
Markdown
# Yerubaali
|
|
|
|
Hili ni jina lingine la Gideoni.
|
|
|
|
# Tafadhali sema haya, ili wakuu wote wa Shekemu wasikie, Ni kipi bora kwako Je, wana sabini wote wa Yerubali kutawala juu yenu, au kwamba moja tu atawale juu yenu?
|
|
|
|
"Tafadhali waulize watu wa Shekemu kama wapo tayari kutawaliwa na wasa sabini wa Yerubaali au wana mmoja tuu atawale juu yao"
|
|
|
|
# Sabini
|
|
|
|
"70"
|
|
|
|
# mimi ni mfupa na nyama yenu.
|
|
|
|
"mifupa yenu na nyama yenu" inaelezea kuwa na undugu na mtu fulani.
|