sw_tn/jdg/07/13.md

8 lines
308 B
Markdown

# Hii si kitu kingine isipokuwa upanga wa Gideoni
"upanga wa Gideoni" inamaanisha jeshi la Gideoni linavamia. "mkate wa shayiri katika ndoto yako ni jeshi la Gideoni.
# Mungu amempa ushindi juu ya Midiani
Hili tukio la baadae linazungumzwa kama vile ni tukio lililopita. Inasisitiza kuwa lazima itatokea.