sw_tn/jdg/07/12.md

12 lines
399 B
Markdown

# wengi kama wingu la nzige
Hapa "wingu" inamaanisha kundi. Mwandishi analizungumzia jeshi kama kundi la nzige ili kusisitiza kuwa idadi ya askari ilikuwa kubwa.
# Ngamia zao walikuwa zaidi ... kuliko idadi ya mchanga katika bahari.
Mwandishi anasisitiza kuonesha idadi kubwa ya ngamia waliokuwepo.
# Ngamia zao walikuwa zaidi ya mawingu
"Ngamia zao zilikuwa nyingi na walishindwa kuzihesabu"