sw_tn/jdg/06/05.md

20 lines
487 B
Markdown

# Kila wakati wao na mifugo yao na mahema walipokuja
Nchi ya Midiani ilikuwa kusini mwa nchi ya Israeli pembeni mwa bahari ya Shamu.
# walikuja kama kundi la nzige
Wamidiani wanafananishwa na kundi la nzige kwa sababu walikuja na kundi kubwa la watu na wanayama wao walikula kilakitu kilichopandwa.
# Haikuwezekana kuhesabu
Hii inaonesha kuwa namba ilikuwa kubwa sana.
# Midiani iliwadhoofisha
"Midiani" inawakilisha watu wa Midiani.
# Wakamwita Bwana
"wakamwomba Bwana msaada"