sw_tn/jdg/05/29.md

32 lines
687 B
Markdown

# Binti mfalme mwenye hekima
Huyu ni binti wa mfalme lakini pia anaweza kuwa mshauri wa kike wa familia ya kifalme.
# akajibu jibu lile
"akajiambia mwenyewe kitu kile kile"
# Je, hawakupata na kugawanya nyara?
"Watakuwa na nyara nyingi sana ndio maana wanachukua mda mrefu kugawana"
# Tumbo, matumbo mawili kwa kila mtu ... kwa wale waliopora?
Wanawake wanatumia swali kusisitiza kuwa wanaamini hili ndilo lilitokea.
# Tumbo, matumbo mawili kwa kila mtu
"tumbo" linawakilisha mwanamke. "Kila askari atapata mwanamke mmoja au wawili"
# Nguo za rangi
"ngio zenye rangi"
# Iliyofumwa
"imeshonwa vizuri"
# misumari ya wale waliopora
"misumari" inawakilisha askari wa Sisera.