forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
559 B
Markdown
12 lines
559 B
Markdown
# Kwa nini uliketi katikati ya moto, ukisikiliza wachungaji wakipiga filimbi yao kwa makundi yao?
|
|
|
|
Hili swali limeulizwa ili kuwapinga wana wa Rubeni kwa sababu hawakuamua kwenda vitani. Pia inaweza kutafsiriwa "Mngetusaidia kupigana badala ya kukaa nyumbani na kusikiliza wachungaji wakipiga filimbi kwa makundi yao"
|
|
|
|
# Moto
|
|
|
|
Tafsiri zingine za Biblia zinatafsiri "mazizi ya kondoo"
|
|
|
|
# kulikuwa na utafutaji mkubwa wa moyo.
|
|
|
|
"moyo" inawakilisha fikra. Watu kujadili wao kwa wao lakini wakashindwa kuamua nini cha kufanya inafananishwa na kutafuta mioyo yao.
|