sw_tn/jdg/04/14.md

12 lines
304 B
Markdown

# Bwana amekupa ushindi
Debora ana uhakika na ushindi. anazungumza kama vile Baraka ameshapata ushindi. "Bwana atakupa ushindi"
# Je! si Bwana anayekuongoza?
Debora anamuuliza hili Swali Baraka ili kumkumbusha kuwa wanapigana wakiwa upande wa Bwana. "Kumbuka Bwana anakuongoza"
# Kumi elfu
"10,000"