sw_tn/jdg/03/26.md

12 lines
307 B
Markdown

# Wakati watumishi wakisubiri ... Ehudi alikimbia
Hii inaeleza nini kilitokea kabla watumishi hawajafungua mlango wa chumba cha juu na kukuta mfalme amekufa. "Wakati watumishi walipokuwa wakisubiri nje ya chumba cha juu ... Ehudi alikimbia"
# Seira.
Hili ni jina la mji.
# Alipofika
"Alipofika Seira"