forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
394 B
Markdown
12 lines
394 B
Markdown
# Hakika atakuwa anajitoa mwenyewe
|
|
|
|
Hii ni hali ya kuzungumza kwa upole kuhusu mtu ambaye anataka kujisaidia.
|
|
|
|
# hata walipoanza kuhisi kuwa walikuwa wakipuuza wajibu wao
|
|
|
|
Walisubiri mpaka wakaanza kuwa na wasiwasi kuwa kuna kitu hakipo sawa na ulikuwa wajibu wao kufungua mlango katika chumba binafsi cha mfalme wao.
|
|
|
|
# walichukua ufunguo wakawafungua
|
|
|
|
"walichukua ufunguo na kufungua mlango"
|