sw_tn/jdg/03/21.md

12 lines
160 B
Markdown

# nao ukatokea nyuma yake
"ncha ya upanga ikatokea nyuma yake"
# hakuutoa
"hakuuvuta"
# ukumbi
Hiki ni chumba cha nje chenye ukuta mdogo na kilichoezekwa.